Preloader logo
Menu

Ulinzi zaidi, Haraka,
Ufikiriaji wa mbele.

DigiByte ni haraka zaidi ya sarafu ya kidigitali. Ni blockchain ya uvumbuzi kwa ajili ya mali za kigitaili, smart contracts, programu zenye madaraka na uthibitisho salama.

Soma info paper

Kipi kinaifanya DigiByte kuwa na nguvu zaidi ya wengine?

DigiByte ni chanzo -wazi cha blockchain kinachokua kwa haraka kilichoundwa mwishoni mwa mwaka 2013 na kutolewa mapema mwaka 2014. Baada ya miaka ya maendeleo ya ufikiriaji wa mbele, DigiByte imekuwa moja ya blockchain yenye usalama, kasi, ndefu na UTXO blockchain yenye madaraka.

Isiyohodhiwa kabisa

DigiByte haijawahi kufadhiliwa kupitia ICO au kiwango muhimu cha sarafu zilizochimbuliwa awali. Hakuna Mkurugenzi Mtendaji au kampuni inayodhibiti blockchain ya DigiByte. Ni mradi wa kujitolea unaendeshwa kijamii.

Salama zaidi.

DigiByte hutumia algorithms 5 za kimfumo na marekebisho ya ugumu wa wakati halisi ili kuzuia ujumuishaji mbaya wa uchimbaji na kushuka kwa hash power. Mojawapo ni Odocrypt inayojibadilisha yenyewe kila baada ya siku 10 kwa ukinzani wa ASIC.

Haraka zaidi.

DigiByte blocks zinatokea kila baada ya sekunde 15 ambayo ni mara 40 haraka zaidi ya Bitcoin na mara 10 haraka zaidi ya Litecoin. Utekelezaji wa mapema wa SegWit na ugumu wa blockchain unawezesha mpaka miamala 1066 kwenye mnyororo Kwa sekunde kwa ada ambazo ni ndogo sana.

Ufikiriaji wa mbele.

Kwa zaidi ya miaka sasa, DigiByte imekuwa ikijirudia yenyewe mbali na blockchain nyingi kama DigiShield, MultiAlgo, utekelezaji wa SegWit, Odocrypt algorithm, Dandelion++ privacy protocol, DigiAssets na Digi-ID.

Nini maana ya DigiByte? Angalia video ya utangulizi

Hivi ndivyo blockchain ya DigiByte inavyofanya kazi.

Safu tatu ndizo sehemu kuu za uvumbuzi kwenye blockchain ya DigiByte zinazotoa miundombinu ya mtandao, ulinzi na mawasiliano katika ufanyaji kazi wa spidi ya ajabu.

Programu / DigiAssets.

Safu ya juu ni kama stoo ya programu iliyo na mwonekano na matumizi halisi ya dunia. Aina zote za mali za kigitail zinaweza kuundwa kupitia itikadi ya DigiAssets juu ya blockchain ya DigiByte. Programu zilizo na madaraka (dApps) zinaweza kuundwa juu ya blockchain ya DigiByte. Pia smart contracts zilizo ngumu na salama juu blockchain ya DigiByte zinaweza kuundwa kwa urahisi.

Mali za kigitaili / Kitabu cha umma.

Safu/Tabaka la katikati hutoa usalama/ulinzi na utawala. Digital Byte ya data, huwakilisha data nyingi au kizio kinachoshikilia thamani na haiwezi kuwa bandia, kurudiwa au kufanyiwa utapeli. Kitabu/daftali la umma lenye ulinzi wa hali ya juu ambapo shughuli/miamala yote ya DigiByte inatunzwa. DigiByte inatumia algorithm tano kuthibitisha kazi kwa ajili ya ulinzi. DigiByte mpya hutokana na uchimbaji pekee.

Kiini cha itifaki / Mtandao wa ulimwengu.

Safu/Tabaka la chini hutoa mawasiliano na taratibu za ufanyaji kazi. Ni kiwango cha chini kabisa cha node kwenye DigiByte cha mawasiliano katika mtandao wa ulimwengu. Maelfu ya watu wanatumia programu ya DigiByte kote ulimwenguni. Seva, kompyuta, tablet au simu yoyote iliyounganishwa na mtandao wa DigiByte inakuwa node inayosaidia kupokea na kuruhusu miamala/shughuli. Anza kuchangia kwenye blockchain ya DigiByte kwa njia bora.

Chanzo-wazi / Kisichohitaji ruhusa.

Kama ilivyo tovuti, DigiByte blockchain ni chanzo-wazi na kisicho na gharama kutumia kilichotolewa chini ya leseni ya MIT, ambacho kinakupa nguvu ya kuendesha na kubadilisha programu. Uwazi unaruhusu uthibitisho huru wa binary na chanzo cha misimbo/code zinazoendana.
Itifaki ya DigiByte kwenye GitHub.
Kiini cha maendeleo ya DigiByte kwenye GitHub.

Stigi za DigiByte blockchain

Historia ya DigiByte.

Vumbua hatua muhimu za maendeleo makubwa ya blockchain ya DigiByte.

Development

Maendeleo ya muda wote yameanza ili kujenga blockchain ya DigiByte ya siku za usoni.

Oktoba, 2013 Jifunze zaidi
Launch

Block ya mwanzo ilichimbwa kwa ukamilifu na blockchain ya DigiByte kuzinduliwa rasmi.

Januari 10, 2014 Jifunze zaidi
DigiShield

GigiShield iliwezeshwa kutumia mabadiliko ya muda kamili dhidi ya kupanda na kushuka kwa hash.

Februari 28, 2014 Jifunze zaidi
MultiAlgo

MultiAlgo iliwezeshwa kutumia algorithms 5 tofauti ili kuzuia kuhodhiwa kwa madaraka ya Uchimbaji.

Septemba 1, 2014 Jifunze zaidi
MultiShield

MultiShield iliwezeshwa kupanua ulinzi wa DigiShield zaidi ya algorithm 5 za uchimbaji.

Desemba 10, 2014 Jifunze zaidi
DigiSpeed

MultiSpeed iliwezeshwa kupunguza muda wa block mpaka sekunde 15 kwa kufanya miamala haraka.

Desemba 4, 2015 Jifunze zaidi
SegWit

SegWit iliwezeshwa kabla ya Bitcoin na Litecoin kwa ajili ya matumizi ya ukubwa wa block.

April 28, 2017 Jifunze zaidi
Digi-ID

Digi-ID ilizinduliwa kuwezesha watumiaji kuweka jitihada kidogo kuingia kwenye tovuti na zaidi.

Mei, 2018 Jifunze zaidi
DigiAssets

DigiAssets ilizinduliwa kuwezesha utoaji madaraka ya mali na zaidi.

Aprili, 2019 Jifunze zaidi
Dandelion++

Protakali ya Dandelion++ ilianzishwa kuzuia ufuatiliaji IP na eneo.

Mei 3, 2019 Jifunze zaidi
Odocrypt

Odocrypt iliwezeshwa ambayo inabadilika yenyewe kila baada ya siku 10 Kwa ajili ya ukinzani wa ASIC wenye nguvu.

Julai 21, 2019 Jifunze zaidi
Roadmap

Orodha ya vitu ambavyo tunataka kufanya kwa DigiByte. Vinjari na anza kuchangia.

Njia ya barabara Jifunze zaidi

Sarafu ya kidigitali ambayo
utaipenda kwa ujumla.

DigiByte (DGB) ni sarafu ya kidigitali ambayo inaweza kupanuka kutoka hatua moja kwenda nyingine na inawezesha kasi kubwa ya ufanyaji miamala kwa ada ndogo sana. DigiByte ni njia nzuri ya kufanya malipo.

Jifunze kwa kutazama

Rahisi kutumia.

Kuanza kutumia DigiByte ni rahisi zaidi kuliko hata kutuma meseji. Unaweza kutuma na kupokea DigiByte kwa kutumia vifaa ambavyo tayari unavijua na kuvipenda. Unachotakiwa ni kuweka Pochi inayopokea DigiByte kwenye kifaa chako alafu bonyeza scan, scan QR code na tuma DigiByte. Rahisi kama 1..2..3.

Sio ICO.

DigiByte haijawahi kufadhiliwa kupitia ICO au kiwango muhimu cha sarafu zilizochimbuliwa awali (0% iliyobaki). Hakuna Mkurugenzi Mtendaji au kampuni inayodhibiti DigiByte blockchain. Mwanzilishi, watengenezaji na jamii ni watu wanaojitolea wasio na malipo kitu ambacho kinaondoa hatari ya kufilisika.

Haraka zaidi.

Miamala ya DigiByte inathibitishwa ndani ya sekunde 15 kwa makadrio, ambayo ni mara 40 haraka zaidi ya Bitcoin na mara 10 haraka zaidi ya Litecoin. SegWit inawezesha mpaka miamala/shughuli 1066 kwenye mnyororo kwa sekunde na kwa ada ndogo sana kabisa na kuifanya DigiByte sarafu bora ya malipo ya kila siku.

Salama wakati wote.

DigiByte imeundwa kwenye teknolojia mahili ya blockchain ya Bitcoin na kuweka vitu mahili kabisa juu yake kama DigiShield guard, MultiAlgo mining na Odocrypt algorithm. Pia Dandelion++ privacy protocol inasaidia kukuweka salama kwa kuficha IP na eneo ulilopo. Jifunze zaidi.

Inachimbwa.

DigiByte ni blockchain ambayo ni 100% Proof of Work (PoW) na inaweza kuchimbwa kwa algorithms 5 zinazoitwa Sha256, Scrypt, Skein, Qubit na Odocrypt. MultiAlgo mining inachangia madaraka (kutohodhiwa), usalama wa mtandao na kukupa uhuru wa kutumia vifaa tofauti kama ASIC, FPGA au GPU. Jifunze zaidi.

Vizio vinavyothibitiwa.

Ukilinganisha na Bitcoin milioni 21, DigiByte bilioni 21 (1000:1 kwa uwiano na BTC) zimetengenezwa tayari kwa ajili ya kupokelewa na watu wengi. DigiByte block rewards hupunguza 1% kila mwezi ya DigiByte zote badala ya kupunguza nusu ya block kila baada ya miaka 4. DigiBytes zote bilioni 21 zitakuwa zimechimbwa ifikapo mwaka 2035. Baada ya 2035 wachimbaji basi watategemea ada ya ununuzi peke yake. Jifunze zaidi.

Urahisi wa kuchagua kutoka kwenye mfumo wa DigiByte.

Kubadilishana yote na huduma zote zinazowezesha DigiByte zinapatika kwenye DigiByte Wiki.

Binance

Binance ni moja wapo ya majukwaa makubwa na yenye nguvu ya biashara ya crypto inayopeana chaguzi za biashara za DigiByte.

Binance binance.com
Okex

OKX ni moja wapo ya kubadilishana kubadilishana cryptocurrency ambayo inatoa DigiByte biashara.

OKX okx.com
KuCoin

KuCoin ni moja wapo ya ubadilishanaji wa juu zaidi wa cryptocurrency kufanya biashara DigiByte.

KuCoin kucoin.com
Changeangel

Changeangel inawezesha sarafu kwa sarafu, Pochi kwa Pochi na huduma za kubadilisha kwa miradi ya kijamii.

Changeangel changeangel.io - nunua dgb

Kanusho la kubadilishana
Ofisi za kubadilishana yaliyoletwa hapa au kwenye CoinMarketCap ni kwa madhumuni ya habari tu na hayahusiani na jamii ya DigiByte. Ofisi yoyote ya kubadilishana inaweza kuorodhesha DigiByte bila ruhusa. Daima fanya utafiti wako mwenyewe kabla ya kuzitumia, kisha uhifadhi DGB yako katika pochi wa kibinafsi.

Njia iliyorahisishwa
kuunda mali.

DigiAssets ni salama, safu ya juu yenye kuweza kupanuliwa ya blockchain ya DigiByte ambayo inawezesha utoaji madaraka ya mali/sarafu, smart contracts, digital identity na zaidi.

Jifunze kwa kutazama

Uwezo usio na kikomo.

DigiAssets zinaweza kutumiwa kuwakilisha usalama wa kitu chochote tunachopata katika ulimwengu. Kutoka kwenye mali inayoonekana kama vile mali isiyohamishika au magari, kupitia kwa uhaba wa vipande vya sanaa vya kidigitali. Hati zilizosainiwa kama vile shughuli na bili za matibabu zinaweza kulindwa pia.

Kukua kwa ujasiri.

DigiAssets kama mfumo wa ikolojia na jukwaa tayari lina vyama vyenye nia ya kupanga au kujenga majukwaa katika mali zisizohamishika, fedha, malipo, utambulisho, sehemu ya kuuzia, mbio, biashara, huduma za afya, mnyororo wa usambazaji, serikali na zaidi.

Teknolojia yenye uwezo.

DigiAssets inaleta huduma za kipekee za blockchain zilizoidhinishwa kupatikana ndani ya blockchain isiyo na ruhusa kama DigiByte. Hii inaruhusu DigiAssets kuwa salama zaidi, kupanuliwa na zisizoingiliwa na mtu yeyote kuliko jukwaa lingine lolote kwenye soko.

Anza sasa na DigiAssets.

Jifunze protakali.

Vumbua chanzo-wazi cha vigezo vya itifaki ya DigiAssets kwa ajili ya kutoa na kufanya miamala ya mali/sarafu za kidigitali kwa kutumia blockchain ya DigiByte. Itifaki ya DigiAssets kwenye GitHub.

Toa Mali/Sarafu ya kidigitali yako.

Sio mwana-programu? Kwa kweli sio shida! Mtu yeyote anaweza kutoa DigiAsset kwa urahisi kwa kutumia moja ya vifaa vinavyopatikana bila kuwa na ujuzi wa kiufundi juu ya itifaki. Huduma zinazoungwa mkono na DigiAssets.

Tunza / Fanya biashara.

Unajiuliza jinsi ya kutumia DigiAssets? Tumia programu za DigiByte Mobile kutuma, kupokea na kutunza mali zako za kidigitali au tafuta Huduma zinazoungwa mkono na DigiAssets kununua, kuuza na kubadilisha DigiAssets.

Unahitaji msaada zaidi?

Je, unahitaji msaada zaidi kuhusu DigiByte? Jisikie huru kujiunga na kundi la watengenezaji wa programu ya DigiByte kwenye Telegramu na uulize maswali yako au uwasilishe mchango wako wa kimawazo. Watengenezaji wa programu za DigiByte kwenye Telegramu.

Tazama DigiAssets zikifanya kazi.

Gundua huduma za DigiAssets zilizokubaliwa kupata uzoefu wa DigiAssets.

DigiAssetX

digiassetX ni huduma mpya ya DigiByte DigiAsset na huduma ya muundaji wa DigiAsset.

Inakuja hivi karibuni digiassetx.com

Uthibitisho bora.

Digi-ID ni itikadi ya usalama iliyojengwa juu ya teknolojia ya blockchain ya DigiByte kuwezesha watumiaji kuweka jitihada kidogo kuingia kwenye tovuti, programu na zaidi.

Jifunze kwa kutazama

Uthibitishaji rahisi.

Digi-ID inaondoa jina la mtumiaji, nenosiri na mahitaji ya uthibitisho wa 2fa. Kwa sababu Digi-ID hutumia kifunguo cha umma / kibinafsi cha faragha, hakuna manenosiri au majina ya watumiaji yaliyo hatarini. Njia hii sio tu inalinda watumiaji, inalinda pia huduma ambazo mtumiaji hutumia.

Usalama usio na usawa.

Digi-ID hahifadhi taarifa yoyote kuhusu watumiaji kwenye blockchain. Hii inaimarisha usalama na pia inazidisha ujasiri wa watumiaji wa mwisho kwamba taarifa zao hazifuatwi wala kuwa kwenye hatari kwa uzembe wa wengine. Hakuna hatua ya nje ya kutofaulu kwa mdadisi ili kulenga na kutumia jukwaa lako.

Rahisi na bure.

Digi-ID ni bure kabisa! Hakuna ada, huduma za usajili, au gharama za matengenezo. Lakini gharama ni sehemu yake ya pili ya ubora wa Digi-ID. Kipengele chake cha msingi ni kwamba, kulingana na kipaumbele cha usalama wa DigiByte, Digi-ID ni njia salama zaidi, lakini rahisi kupatikana kwa tovuti, programu na zaidi.

Inafanya kazi kama hivi.

Kizazi.

Tovuti, programu au bidhaa hutoa nambari ya kipekee ya Digi-ID QR na kuiwasilisha.

Ku-scan.

Mtumiaji ana-scan QR kupitia Pochi ya DigiByte Mobile au programu yoyote ya Digi-ID inayokubalika.

Uthibitisho.

Mtumiaji huthibitisha ombi kwa kuingiza PIN yake au kwa ku-scan alama za vidole/uso wake.

Uthibitisho.

Digi-ID hutuma ombi lililosainiwa kwa njia ya maandishi na mtumiaji atafanikiwa kuingia.

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara.

Ninaweza kupata wapi nyaraka zaidi?

Sehemu nzuri ya kuanzia ni Digi-ID.io. Ikiwa unataka kujua zaidi juu ya maelezo na faida za Digi-ID, unaweza kurejelea mwongozo wa mtumiaji, mwongozo wa muuzaji na mwongozo wa ujumuishaji. Ikiwa unatafuta vifaa vya habari, tafadhali pata karatasi ya utangulizi na nembo.

Maktaba za kujumuisha ziko wapi?

Kwa kuwa Digi-ID ni chanzo wazi, kumbukumbu nyingi za kanuni zinaweza kupatikana kwenye GitHub kama vile DigiByte Core Development , Matthew Cornelisse na WHMCSSnow. Ikiwa unahitaji msaada zaidi tafadhali jiunge Watengenezaji wa programu za DigiByte kwenye Telegramu.

Je! Ninaweza kuingiza Digi-ID bila kujua programu?

Kama wewe sio mtengeneza programu, unaweza kutaka kutumia suluhisho jumuisho lililo tayari za kwa tovuti yako au bidhaa. digiassetX hutoa programu-jalizi ya nodejs kwa ujumuishaji rahisi. Unaweza pia kutumia WordPress plugin kwa majukwaa ya WordPress.

Je! Kuna programu nyingine za utambulisho za Digi-ID?

Ndio! Digi-ID ni jukwaa linalokua haraka. Programu nyingi za uthibitisho na na pochi zinazoendana na Digi-ID zinapatikana katika sehemu ya Vipakuliwa.

Angalia Digi-ID kwenye kufanya kazi.

Gundua huduma nyingine zinazoungwa mkono na Digi-ID ili kupata uthibitisho mzuri.

Changeangel

Changeangel inawezesha sarafu kwa sarafu, Pochi kwa Pochi na huduma za kubadilisha kwa miradi ya kijamii.

Changeangel changeangel.io - buy dgb
Hash Altcoin

Hash Altcoin ni kampuni ya uchimbaji wa sarafu za kidigitali ambayo hutoa vifaa bora vya FPGA kwa ajili ya uchimbaji wa sarafu za kidigitali.

Hash Altcoin hashaltcoin.com

Jamii inayopenda zaidi!

Makumi ya watu wa kujitolea kutoka ulimwenguni kote wamechangia DigiByte kwa njia mbalimbali kwa miaka kuifanya iwe kama ilivyo leo. Ni harakati ya kweli ya chini kwa chini. Tunakukaribisha kwa upendo ili ujiunge nasi!

Jifunze kwa kutazama

Timu ya Uhamasishaji ya DigiByte.

DGBAT ni mpango unaoratibiwa na jamii. Wanaongozwa na timu, ambayo washiriki wao husimamia timu kupitia mitandao ya kijamii, jamii, elimu, waandishi, na watengenezaji. Lengo ni kukuza DigiByte kupitia kampeni za elimu, ufikiaji na uuzaji.
Jifunze zaidi - Changia - Wasiliana.

Watengenezaji wa programu za DigiByte.

Kila mtu anayefanya kazi kwenye DigiByte ni anajitolea bure bila malipo. Anza kuchangia maendeleo ya DGB leo au ujenge programu yako mwenyewe juu ya blockchain ya DigiByte.
Watengenezaji wa DigiByte kwenye Gitter.
Itifaki ya DigiByte Core kwenye GitHub.

Mitandao ya kijamii.

Fuatilia DigiByte kwenye majukwaa yote ya msingi ya kijamii ili upate habari mpya za DigiByte na ushiriki machapisho na marafiki zako kutusaidia kufanya sauti zetu zisikike kote ulimwenguni.

Makundi ya Telegram.

Telegram ndio njia maarufu na rahisi ya kujishughulisha na jamii ya DigiByte ulimwenguni. Tafadhali jiunge na vikundi vilivyo chini ambavyo unavutiwa na au tazama orodha ya vikundi vyote vya DigiByte.

Taadhari Majadiliano Msaada Watengeneza programu Uchimbaji Uuzaji Uvumi Tafsiri

DigiByte Wiki.

The DigiByte Wiki ni makala ya mtandaoni iliyojengwa na jamii Kwa ajili ya jamii. Ina data muhimu na mpya kama vile Mfumo wa DigiByte na jinsi ya kuongoza. Mtu yeyote anaweza kuchangia kwenye Wiki kwa kuunda akaunti ya bure ya mtumiaji na kuanza kuongeza habari kwenye DigiByte Wiki.
Onyo Epuka kujitangaza kusio na haya na viungo vya mialiko.

Kiufundi Mfumo Utimilifu

Kutana na muundaji wa DigiByte.

Jared Tate ndiye mwanzilishi na muundaji wa blockchain ya DigiByte. Jared alijitolea muda wake wote kwa ajili ya maendeleo ya DigiByte tangu Oktoba 2013. Amealikwa na MIT, Harvard na Capitol za Amerika kuzungumzia kuhusu teknolojia ya blockchain. Pia ni mwandishi wa kitabu cha Blockchain 2035 The Digital DNA of Internet 3.0, ambacho ni kitabu cha kwanza kilichoandikwa na mwanzilishi wa blockchain.

Twitter LinkedIn Biografia

Kanusho la Mitandao ya Kijamii
Maoni, imani na maoni ya kibinafsi yaliyoonyeshwa na Jared Tate, Timu ya DigiByte Core, DigiByte Foundation & Timu ya Uhamasishaji ya DigiByte haionyeshi maoni ya kibinafsi, imani na maoni ya jamii.

Mchango kwa jamii ya DigiByte.

Toa kwa mashirika ya DigiByte au tumia huduma hapa chini kutusaidia.

Changeangel

Changeangel inawezesha sarafu kwa sarafu, Pochi kwa Pochi na huduma za kubadilisha kwa miradi ya kijamii.

Changeangel changeangel.io - buy dgb

Chagua programu yako.

Chagua programu kutuma, kukubali na kuhifadhi DigiBytes na DigiAssets zako au uthibitishe usalama kwa kutumia Digi-ID.
DigiByte Core ya sasa v7.17.3

Jifunze kwa kutazama

Programu zilizotengenezwa na jamii ya DigiByte.

DigiByte Core ina nakala kamili ya blockchain na hutengeneza uti wa mgongo wa mtandao. Walakini, inahitaji nafasi nyingi za diski, matumizi ya kumbukumbu ya juu na muda mrefu wa kusawazisha. Ikiwa wewe sio mtumiaji wa uzoefu, unaweza kutaka kutumia mkoba wa programu uliorahisishwa.

DigiByte Core

  • Uthibitisho kamili
  • Kusaidia mtandao
  • Utulivu wa hali ya juu
  • Msaada wa SegWit

Inapatikana kwa Windows, macOS & Linux (Bit 64 tu)

DigiByte Mobile

  • Pochi ya SPV
  • Msaada wa Digi-ID
  • Msaada wa DigiAssets
  • Msaada wa Lugha nyingi

Inapatikana kwa iOS & Android
TestFlight     Android Beta

Hati za DigiByte na Miongozo.

Unatafuta nyaraka zaidi? Ikiwa unahitaji habari ya msingi ya kifungu au habari ya kiufundi kwa mchakato wa ujumuishaji. Unaweza kufikia miongozo yote muhimu hapa chini.

DigiByte Info Paper

Jifunze maelezo ya DigiByte blockchain kwa kutumia "info paper".

Info paper Pakua
DigiByte Integration Guide

Jumuisha blockchain ya DigiByte katika ubadilishanaji wako, pochi au huduma kwa urahisi.

Mwongozo wa ujumuishaji Pakua
DigiByte Media Sheet

Jifunze ukweli muhimu kuhusu blockchain ya DigiByte blockchain kwa kutumia karatasi ya media haraka.

Karatasi ya media Pakua
DigiByte Presentation

Tumia uwasilishaji wa mtandaoni unaofaa wa kutambulisha DigiByte kwa marafiki zako.

Uwasilishaji Anza
DigiByte Logos & Icons

Pata nembo na picha sahihi na za kisasa za DigiByte kwa ajili ya mradi wako.

Nembo na Picha Nenda GitHub
How to Guides

Endesha DigiByte yako mwenyewe kamili kwa kurejelea miongozo ya Wiki.

Jinsi ya kuongoza Nenda DigiByte Wiki

Programu zilizotengenezwa na makampuni mengine.

Pochi za programu.

Coinomi Wallet

Inapatikana kwenye Windows, macOS, Linux, iOS na Android. Digi-ID na SegWit support. Imependekezwa!

Coinomi Pakua
Ownbit Wallet

Inapatikana kwenye iOS na Android. Digi-ID na MultiSig support. PUanachama umelipiwa.

Ownbit Pakua
Edge Wallet

Inapatikana kwenye iOS na Android. SegWit support.

Edge Pakua
Exodus Wallet

Inapatikana kwenye Windows, macOS, Linux, iOS na Android.

Exodus Pakua
Atomic Wallet

Inapatikana kwenye Windows, macOS, Linux, iOS na Android.

Atomic Pakua
Trust Wallet

Inapatikana kwenye iOS na Android. SegWit support.

Trust Wallet Pakua
Guarda Wallet

Inapatikana kwenye Windows, macOS, Linux, Chrome, iOS na Android.

Guarda Pakua

Pochi za vifaa.

Bitfi Wallet

Inafanya kazi kwenye kivinjari chochote cha tovuti kupitia Wi-Fi. Msaada wa SegWit. Imependekezwa!

Ledger Wallet

Inafanya kazi kwenye Win, macOS, Linux, iOS na Android kupitia USB na Bluetooth. Msaada wa SegWit. Imependekezwa!

Trezor Wallet

Inafanya kazi kwenye Chrome na Firefox kupitia USB. Msaada wa SegWit.

KeepKey Wallet

Inafanya kazi kwenye Chrome na ShapeShift.com kupitia USB.

KeepKey Tembelea tovuti
SafePal Wallet

Inafanya kazi kwenye iOS na Android kupitia QR code. Msaada wa SegWit.

SafePal Tembelea tovuti
SecuX Wallet

Inafanya kazi kwenye Chrome na iOS kupitia USB na Bluetooth. Msaada wa SegWit.

D'CENT Wallet

Inafanya kazi kwenye iOS na Android kupitia USB na Bluetooth. Uthibitishaji wa alama za vidole na Msaada wa SegWit.

Kadi za deni.

Crypto.com

Programu za iOS na programu za Android. Kadi ya malipo ya Visa.

Crypto.com Pata programu
Bitpanda

Programu za iOS na programu za Android. Kadi ya malipo ya Visa.

Bitpanda Pata programu
Uphold

Programu za iOS na programu za Android. Kadi ya malipo ya MasterCard.

Uphold Pata programu

Uhakika wa programu za uuzaji.

Coinpayments

Programu za iOS na programu za Android za malipo ya kibinafsi na programu-jalizi za malipo ya mtandaoni. Msaada wa kuuza wa otomatiki.

CoinPayments Pata programu
Prodoge

Programu isiyo ya usimamizi wa iOS kwa malipo ya kibinafsi na programu ya mfanyabiashara kwa malipo ya mtandaoni.

Prodoge Pata programu

Programu za Digi-ID.

Digi-ID/AntumID

Programu ya Digi-ID. Msaada wa upanuzi wa AntumID kwa kazi ya DigiPassword.

Digi-ID/AntumID iOS - Android
Coinomi

Pochi ya sarafu nyingi na kazi ya uthibitisho ya Digi-ID.

Coinomi iOS - Android
Ownbit Wallet

Pochi ya sarafu nyingi na kazi ya uthibitisho ya Digi-ID.

Ownbit iOS - Android
Digi-ID Desktop

Digi-ID kwa Kompyuta za Desktop.

Digi-ID Desktop Matoleo

Zana & Suluhisho.

GetBlock

DigiByte Node Endpoints.
Blockchain RPC API.

NOWNodes

DigiByte Node Endpoints.
Blockhain RPC & Explorer API

Digi-ID Desktop

Sakinisha na fuatilia node za DigiByte na / au DigiAssets kwenye Mashine za Linux.

DigiNode Tools Toleo Jipya

Kanusho la Pochi
Pochi zote za zinazoletwa na makampuni mengine hapa zinashikiliwa na seva zao au stoo za programu husika. Hatutahusika na maswala yanayotokana na watoa huduma za pochi. Katika hali kama hiyo unapaswa kuwasiliana na huduma kwa wateja kutoka kwa hao wenye pochi.